Mangi wa Rombo
Senior Member
- Sep 25, 2014
- 191
- 129
Habari!
Sisi ni wazalishaji na wauzaji wa mkaa wa kawaida. Tuna vibali vyote vya wakala wa misitu, na mkaa wetu unazalishwa kutoka kwenye misitu endelevu iliyo ruhusiwa kuvunwa.
Gunia zetu zimeshonwa vizuri na haziendi zikidondosha mkaa, tunatumia mifuko mipya na kamba madhububuti kusuka magunia yetu..
Tunakaribisha wauzaji wa rejareja ambao wanataka kuanza biashara ya mkaa, tuna mpango wa mkataba ambapo mteja anaweza kuchukua mzigo kwa credit kisha akalipa akiusha uza.
Tuna uwezo wa ku-supply hadi gunia 200 kwa mwezi. Bei zetu ni za jumla na mteja wa kuanzia gunia 30 tunamfanyia delivery bure ndani ya Dar.
Kwa maelezo zaidi, unaweza kutupigia simu +255 750 742 344 au ukafika ofisini kwetu, Madale Mwisho opposite na Kituo cha Daladala Madale mwisho, njia panda ya Mbopo.
Karibuni sana