AsiliSeaMoss
Member
- May 27, 2022
- 17
- 13
Faida za kuongeza mwani kwenye mlo wako
Husaidia kupunguza unene, kupandisha kinga za mwili.
Hupunguza kiasi Cha mafuta mabaya mwilini, Hupunguza mchakato wa kuzeeka kwa ngozi, Hupunguza shinikizo la damu. (Cell food)
Hurutubisaha afya ya ngozi. Nzurii kwa Afya ya moyo, ini, kisukari,
Huborsha afya ya uzazi kwa me na ke.
Vyakula vinavyopatikana baharini
Kwa ujumla, hivi ni vizuri kwa afya . Vyakula vingi vya baharini vina kiwango kikubwa cha Madimi mhimu katika mwili wa binadamu
Mwani unafaida nyingine rukuki
Kwa wajasilia Mali na wale wanaopenda kujiajili, Hii ni fursa kwenu mwani ni marighafi ni nzurii na kwa sasa inakubarika sokoni kwa kutoa bidhaa nzurii zenye ubora.
Mwani unaposindikwa , hutoa ute(gel) hutumika kwenye viwanda kama
•usindikaji wa vyakula,
•vinywaji,
•Rangi za kupaka,
•dawa za meno,
•sabuni,
•shampoo n.k
Pia mmea huu hutumika kama chakula cha binadamu, wanyama na kutengeneza mbolea.
JIPATIE MWANI KATIKA UJAZO TOFAUTI
a)powder
b) gel
c)raw
No +255785070444