Mr worldwide
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 348
- 740
Tangazo bila pichaTangazo Tangazo
Ninatengeneza Mikoba ya aina mbalimbali, mikoba hii inafaa kwa jinsia zote hususani jinsia ya kike, mabegi kwa waume na wanawake
Pia mabegi ya wanafunzi yanapatikana
mabegi kwa ajili ya safari yanapatikana pia
Bei ninafuu Sana, inapatikana Kwa bei ya jumla na rejareja. mikoba kama hii inapatikana kwa bei kuanzia Tsh 15000 na kuendelea
Nipo Dar es salam ( ufundi, alongside Kilwa road.)
Kwa mawasiliano.
:0766517604( WhatsApp & calls)
Nb.Mikoba ni imara sana inafaa hata kubebea vitu vizito.i
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha ziko wapi wewe unaziona
picha zimegoma soon zitakuwa hapaTangazo Tangazo
Ninatengeneza Mikoba ya aina mbalimbali, mikoba hii inafaa kwa jinsia zote hususani jinsia ya kike, mabegi kwa waume na wanawake
Pia mabegi ya wanafunzi yanapatikana
mabegi kwa ajili ya safari yanapatikana pia
Bei ninafuu Sana, inapatikana Kwa bei ya jumla na rejareja. mikoba kama hii inapatikana kwa bei kuanzia Tsh 15000 na kuendelea
Nipo Dar es salam ( ufundi, alongside Kilwa road.)
Kwa mawasiliano.
:0766517604( WhatsApp & calls)
Nb.Mikoba ni imara sana inafaa hata kubebea vitu vizito.i
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakuwa dalali maana biashara ya mtandaoni bila picha ni kupoteza muda
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatengeneza mwenyeww na kuzikamilisha mwenyewe mkuu?
Mkuu Kuna aina ya mikoba inatengenezwa kwa kutumia shangaa zenye ukubwa kiasi je unayo?
[emoji1787][emoji1787]