INAUZWA Tunauza ng'ombe bora wa maziwa

Joined
Jan 23, 2020
Posts
7
Reaction score
19
"TUNAUZA NG'OMBE TUPO ARUSHA SING'ISI TENGERU"

BIASHARA ZETU NI ZA ANA KWA ANA NA SIYO MTANDAONI. LAZIMA MTEJA AFIKE OFISINI NA SHAMBANI

(1) Tunao mitamba ambao hawajapandwa ila waweza pandwa muda wowote.

Bei ni kuanzia Tsh 1200000 hadi 1650000 inategemea na mtamba mwenyewe.

(2) Pia mtamba mwenye mimba kuanzia miezi mitatu (3) hadi miezi sita (6) ni Tsh 1500000 hadi 1800000.

(3) Pia tunao ng'ombe walio zaa mara moja mara mbili na mara tatu ambao wanakamuliwa maziwa kuanizia liter 16 adi 22 inategemea na ng'ombe mwenyewe bei zao ni kuanizia Tsh 1700000 hadi 2000000.

(4) Na pia kwa wale wanao itaji ndama madume pamoja na majike wanapatikana kuanzia umri wa miezi minne adi sita kwa bei kuanzia Tsh 650000 hadi 850000.

KAMA KAMPUNI GARAMA ZA USAFIRISHAJI KWA KIWANGO NA MTEJA KUTEGEMEA NA ENEO ALILOPO KARIBU SANA UPATE NG'OMBE WAZURI KWA UZALISHAJI

Wasiliana nasi kwa simu kwa namba: 0744464140

Kiukweli natamani sana kuwafuga hao ng'ombe. Je, hiyo variation ya kiwango cha maziwa ni kutokana na lishe au aina ya ng'ombe? Kwa mfano, mimi naishi Mwanza nitasafirishiwa kwa shilingi ngapi?
 
Ng'ombe wazuri kweli, vipi Dar kwenye joto wanaweza kuhimili na kutoa maziwa vizuri
 
Matapeli wameibukia JF, jamaa wamewaibia watu Facebook kichz, hata ukiangalia jamaa kajiunga Leo alaf ana picha zilezile za utapeli

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona kajiunga 23 Jan 2020 na kapost ng'ombe ktk link hii nyingine anauza.. Sbb kama unanunua ng'ombe nachojua unaenda kucheki physically na kununua na kuondoka nao ukiridhika, kuibiwa ni uzembe wako tu.

Nahitaji namimi kwa kweli, nitawasiliana nanyi nipate nambo mengi hasa hali ya hewa ya sehemu ninapotaka kufugia. Hongera kwa bandiko hili
 
Halahala ngombe alozaliwa sehemu za baridi akaenda sehem za joto...mtazika kila mwezi!
 
"TUNAUZA NG'OMBE TUPO ARUSHA SING'ISI TENGERU"

BIASHARA ZETU NI ZA ANA KWA ANA NA SIYO MTANDAONI. LAZIMA MTEJA AFIKE OFISINI NA SHAMBANI

(1) Tunao mitamba ambao hawajapandwa ila waweza pandwa muda wowote.

Bei ni kuanzia Tsh 1200000 hadi 1650000 inategemea na mtamba mwenyewe.

(2) Pia mtamba mwenye mimba kuanzia miezi mitatu (3) hadi miezi sita (6) ni Tsh 1500000 hadi 1800000.

(3) Pia tunao ng'ombe walio zaa mara moja mara mbili na mara tatu ambao wanakamuliwa maziwa kuanizia liter 16 adi 22 inategemea na ng'ombe mwenyewe bei zao ni kuanizia Tsh 1700000 hadi 2000000.

(4) Na pia kwa wale wanao itaji ndama madume pamoja na majike wanapatikana kuanzia umri wa miezi minne adi sita kwa bei kuanzia Tsh 650000 hadi 850000.

KAMA KAMPUNI GARAMA ZA USAFIRISHAJI KWA KIWANGO NA MTEJA KUTEGEMEA NA ENEO ALILOPO KARIBU SANA UPATE NG'OMBE WAZURI KWA UZALISHAJI

Wasiliana nasi kwa simu kwa namba

0759926750

nahitaji ndama wanne hao wa miezi 6 nikiwa na milioni 2 naweza kupata ?je ni aina gani ya ng'ombe ?
 
Hii hatari!
 
Asante kiungaycrosspurebreeds kwa taarifa muhimu

Vipi kuhusu hawa ng'ombe wenu

1.Uzalishaji maziwa ukoje / lita ngapi kwa asubuhi na ngapi kwa jioni?

2.Wanasurvive kwenye mazingira gani

3.Mna huduma gani kwa wateja mliokwisha wauzia ng'ombe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…