Tunauza nipple za kunyweshea kuku maji kwa bei nafuu

sediz

New Member
Joined
Dec 17, 2018
Posts
3
Reaction score
35
NIPPLE DRINKER SYSTEM inatumika kwa ajili ya kunyweshea kuku maji kwa usafi na ubora wa hali ya juu. (Vifaa vya kisaaa ambavyo hutumika kuwapa kuku maji ya kunywa)

FAIDA ZA NIPPLE DRINKER:-
1) Kinyesi hakichanganyiki na Maji hivyo maji huwa safi muda woote na Hupunguza uwezekano wa kuku kupata magonjwa au maambukizi ya magonjwa maana maji yanakua ndani ya ndoo na yanatoka kidogo kidogo kama matone pale Kuku anapo igusa nipple.
2) Zinafaa kwa brooding area (eneo lilotengwa kwa kuwahudumia vifaranga).
3) Kuku hawachafui banda kwa kumwaga maji.
4) Hunywesha maji Kuku wengi na Hupunguza ukubwa wa kazi, kwamaana hukuna tabu ya kuziosha drinker zako kila siku, kwakuwa kuku hawezi chafua maji yalio ndani ya drinker hii.
5) Huepusha magonjwa yatokanayo na kuchanganyika kwa kinyesi na maji.
6) Ni rahisi sana kutumia, mana utakuwa unajaza maji tu kwenye chombo/drinker na kuendelea na shughuli zingine.
7) Ni imara sana, hudumu muda mrefu bila kuharibika
8)Hubeba maji mengi kwa wakati mmoja,hivyo unaweza kukaa siku 3 na zaidi bila kuweka maji mengine kulinganga na ukubwa wa chombo utakachotumia.
TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM MBAGALA
BEI THS 3000 KWA NIPPLE MOJA
MAWASILIANO; 0788457446
KARIBUNI SANA

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…