Ninahitaji hiyo nyumba lakini ninaogopa utapeli. Ni ya familia, ya kwako na hati miliki unayo. Kuna mambo ya benki labda umekopa na unadaiwa na benki. Na mengineyo inaatufanya kuwa very careful wakati wa kununua property. Wengi wamelizwa sana na haya mambo.