dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #2,421
nikilipa hyo 120m hela yako iko humo humo kama agent? au nikilipa hyo 120m nimupe tena hela na wewe asante?NYUMBA INAUZWA BUNJU MIANZINI
Nyumba inauzwa Bunju Mianzini Kwa Kairuki
-Ina vyumba 2 vyote masta, kitchen, dining na Sitting room.
-Kiwanja ni Sqm 500 ina hati.
-Direction ni Bunju Mianzini lami mpya ya Kairuki hospital.
-Bei ni 120 milioni maongezi zaidi 0756060183
View attachment 2258753View attachment 2258754View attachment 2258755View attachment 2258756View attachment 2258758View attachment 2258759View attachment 2258760View attachment 2258761View attachment 2258762View attachment 2258763View attachment 2258764
Nakuja inboxMKuu mbona kwenye tangazo ni million 55?
Asante sana mkuuNyumba Kali
Kwanza sorry mkuu! Kuuza tunauza na pia saa nyingine tunazidiwa na kazi ila pia tunao wajibu wa pamoja kukumbushana. Ile ya Dodoma jamaa yangu amesema ni nje sana ya mji uuzaji wake utachukua mda sana. Hii ya madale kama bado hujauza tunaweza kuwasiliana kesho nikapaoneHivi ndugu unapataga wateja kweli??nakumbuka nilikupaga kazi ya kuuza Nyumba yangu moja Dar ukashindwa,yaani kwenda tu site kwako ni ngumu,nikakupa kazi ya Nyumba nyingine DODOMA nayo ukashindwa(ukaniunganisha na jamaa yako gani sijui wa DODOMA kwamba atakuja kuiona,tukaongea wote kwenye simu na hakuwahi kutokea!!!),mpaka leo nikionaga matangazo yako JF huwa sielewi ufanyaji wako wa kazi ulivyo
Sasa kwa nini huyo jamaa yako hakurudisha mrejesho kwa mhusika na kumwambia tu ukweli badala ya kupotea tu bila maelezo, halafu maelezo anakuja kukupa wewe?Kwanza sorry mkuu! Kuuza tunauza na pia saa nyingine tunazidiwa na kazi ila pia tunao wajibu wa pamoja kukumbushana. Ile ya Dodoma jamaa yangu amesema ni nje sana ya mji uuzaji wake utachukua mda sana. Hii ya madale kama bado hujauza tunaweza kuwasiliana kesho nikapaone
Mkuu,kwanza nilishaghairi siuzi tena.Kwanza sorry mkuu! Kuuza tunauza na pia saa nyingine tunazidiwa na kazi ila pia tunao wajibu wa pamoja kukumbushana. Ile ya Dodoma jamaa yangu amesema ni nje sana ya mji uuzaji wake utachukua mda sana. Hii ya madale kama bado hujauza tunaweza kuwasiliana kesho nikapaone