Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Dalali hana mtaji/ nauli za kuzungukia
 
Duh nimejifunza, hawa madalali wanakwamisha mno biashara alafu wana uongo uongo sana
 
NYUMBA YA GHOROFA INAUZWA BUNJU

Nyumba bado haijaisha ila imefikia hatua ya kuezeka na finishing
Ina vyumba 4 vikubwa vya kulala vyote ni self

#Stingroom#Dainingroom#kitchen#pupublicktoilet# juu pia kuna stingroom ndogo nk
Chini chumba kimoja self na juu vyumba 3 self
Ramani ya nyumba ni nzr na ni ya kisasa zaidi
Mitaa mizuri na majirani wamejenga vizuri na majengo mapya
Kiwanja kimepimwa na kuna hati
Size plot 700 SQM
BEI Tsh 195m
Maongezi zaidi 0756060183
 
KIWANJA KINAUZWA BUNJU

Kiwanja kipo Bunju iliyopimwa na imejengeka kwa mpangilio
Size plot SQM 700
Bei Tsh 25m
Kiwanja kina hati kimepimwa
Maongezi zaidi 0756060183

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…