dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #2,501
Umeona eeh mkuuFensi ya nguvu! Good
Unaguna nn mkuu
ZimbabweYa kitanzania au ya majirani zetu zimbabwe?
Inaonekana kama Bweni la chuo ama shule. Inafaa kwa biashara hiyoNYUMBA YA GHOROFA INAUZWA MBEZI BEACH
Nyumba ipo mbezi Beach Afrikana ina vyumba 5 vyote ni self.
Size 2500 SQM
Bei 400,000$
Maongezi zaidi 0756060183View attachment 2311461
Ndio mkuuPrice per Square Meters ni Tsh. 100,000
[emoji1] yupi tena huyo?Mbona kama nyumba ya yule mheshimiwa Kho Kho
Bei ni nzuri sana...biashara njemaHOTEL MPYA YA KISASA INAUZWA KIBAHA
Hotel Mpyaa na ya Kisasa, Ina vyumba 37 vyote Self-CONTAINED kila chumba kina AC, ina Balcon, Kila chumba TV, Inauzwa na Furniture zake. Ukubwa wa eneo ni SQUARE METER 1400, imepimwa na ina HATI MILIKI, Ipo KIBAMBA, Kilometer 1 toka Stand ya Mabasi Magufuli, ipo jirani kabisa na Morogoro Road
Bei Tsh 950m
Maongezi zaidi 0756060183View attachment 2335366View attachment 2335367View attachment 2335368View attachment 2335369View attachment 2335370