Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

NYUMBA INAUZWA IPO MBWENI MISSION

Nyumba ina vyumba 4 self,stingroom,kitchen and Dainingroom
Kiwanja kimepimwa na kuna hati
Size plot 830 SQM
Bei Tsh 85m
Maongezi zaidi 0756060183

 
Mwambie bei isizidi 25m ...coz hapo wanunuzi wataangalia kiwanja kipo sehemu gan ...hiyo nyumba ni yakubomoa na kuanza upya so mostly hapo wanunuzi wanalenga location ya kiwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NYUMBA YA KISASA INAUZWA TEGETA KIBO

Nyumba ipo tegeta nyuma ya majengo ya kibo.mitaa mizuri iliyopimwa na nyumba ina vyumba 4 na kati ya hivyo 2 ni self ,Stingroom,Dainingroom,kitchen nk

Hati ipo
Bei Tsh 220m
Maongezi zaidi 0756060183

 
KIWANJA KINAUZWA MBEZI BEACH

Kiwanja kipo mbezi Beach Afrikana..ni cha pili kutoka beach kama itakavyoonekana kwenye picha hapa chini
Size plot 1300 SQM
Mitaa mizuri sana na inafaa kwa makazi.
Bei Tsh 280m
Maongezi zaidi yapo

 
Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa ipo Mbweni Moga ya tatu (3) kutoka kwenye lami. Ramani ya nyumba hii ni (American architectural). Hii nyumba ya kuamia tu hugusi kitu.... Halafu iko jirani na wakuu tofauti tofauti wa ulinzi na usalama...

Nyumba contained, fully A/c, garden nzuri sana, plot sized: 1,350 sqm ina title deed.
- Bei TZS. 1.3 billion maongezi yapo

Mawasiliano zaidi 0756060183
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…