dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #2,741
Uwe unatuma maelezo pamoja na picha inbox au kwenye WhatsApp no hapo juuENEO NA BOMA LINAUZWA
KIBAHA KWA MFIPA JIRANI NA SEC.YA SIMBANI .
ENEO LINA UKUBWA WA NUSU HEKA. KUNA BOMA LA NYUMBA YA VYUMBA 3 VYOTE MASTER. SEBLE JIKO NA DINING. NIMEEZEKA VYUMBA 2. NA VYOO VYAKE TAYARI VINATUMIKA LINA TANK YA CHINI YA KUVUNIA MAJI LITA ELFU 3000.
UMEME NGUZO MBILI
MAJI NI MITA 500
km.1 kutoka main road
NATAKA ML. 18
Sahihi kabisa mkuuThamani ya nyumba huwa inakuwa determined na mahali kiwanja kilipo.Kama kiwanja kipo Bagamoyo,ndio hivyo,ekar moja Ni 250,000.Kama Ni Masaki DSM,ekar moja Ni sh Billion 5(million elf 5).Kwa Hiyo MTU akijenga nyumba kwenye hii ekar moja ya Bagamoyo,ataiuza mil 50,mwenzio akijenga nyumba ya aina Hiyo Hiyo kwenye ekar moja yake ya MASAKI ataiuuza bil 20
Thamani ya nyumba huwa inakuwa determined na mahali kiwanja kilipo.Kama kiwanja kipo Bagamoyo,ndio hivyo,ekar moja Ni 250,000.Kama Ni Masaki DSM,ekar moja Ni sh Billion 5(million elf 5).Kwa Hiyo MTU akijenga nyumba kwenye hii ekar moja ya Bagamoyo,ataiuza mil 50,mwenzio akijenga nyumba ya aina Hiyo Hiyo kwenye ekar moja yake ya MASAKI ataiuuza bil 20
Masaki ipi hiyo unaizungumzia mkuu? Ila kama ni hii ya karibu na Posta hiyo 1.2m hata kiwanja chenyewe unapata kidogo na sio heka moja.Jaribu kutembea na kujionea mkuu watu wanaishiMasaki hakuna nyumba ya ya kuishi mtu ya USD 1.2M ,TANZANIA HAKUNA NYUMBA YA KUISHI YA 1.2M, hizo floor moja?
Sawa mkuu nitafanyia kazi hili pamoja na wauzajiWeka bei zako pia kwa Tzs currency mambo ya $ hatuyawezi mpaka ufanye convetional saa ngapi