PLOT KUBWA YA BIASHARA INAUZWA MBWENI JKT IMETIZAMANA NA LAMI
Plot kubwa nzuri inauzwa mbweni JKT
Plot size: 9 Acres
- Panafaa kujenga Majengo makubwa ya biashara, Nyumba za miradi,Apartments, Hotel, Hostel, Hospital, Chuo,Shule,Nyumba za Ibada nk.

YARD INAUZWA IPO TABATA INDUSTRIAL AREA NI PLOT YA PILI KUTOKA BARABARA YA MANDELA ROAD. PLOT SIZE: 5.5 ACRES IKO FENCED. CLEAN TITLE DEED AVAILABLE.
- PRICE $ 4.8 MIL MAONGEZI YAPO.
Toyota Hilux NEW MODEL
Year 2020/21
2.4cc diesel
7300km ONLY
Rear shutter,side Gr step boards,front lower sump guard,wrinkle mirrors,blind spot mirrors,etc.
Price - 138,000,000/-
With Regisration
Car just Arrived
KWA MAHITAJI YA KUUZA NA KUNUNUA NYUMBA, VIWANJA, MASHAMBA, YARD, MAENEO YA KUJENGA PETROL STATION NK
TAFADHALI WASILIANA NASI KWA
0756060183
PICHA HII ILIPGWA JANUARY MWAKA 2010.
,, Wa kwanza kulia (waliokaa) ni Prof.Idris Mtulia, aliyekua Mbunge wa Rufiji. Anayemfuatia ni Prof.Mark Mwandosya wakati huo akiwa Waziri wa maji na umwagiliaji. Anayemfuatia ni aliyekua mkuu wa wilaya hiyo Bw.Kassim Majaliwa.
Prof.Mwandosya akiwa Waziri alitembelea Rufiji katika ziara ya kikazi. Majaliwa akiwa mkuu wa wilaya akampokea, na Prof.Mtulia kama Mbunge mwenyeji akashiriki ziara hiyo. Hapa wanavuka kwa Mtumbwi mto Rufiji eneo la Mtanza.
Oktoba mwaka huo Majaliwa aligombea Ubunge Ruangwa na kushinda. Akateuliwa Naibu Waziri TAMISEMI (Elimu). Miaka mitano baadae akawa Waziri Mkuu.
FUNZO:
Hakuna ajuaye hatma ya maisha yetu ila Mungu pekee. Usimdharau yeyote kwani hakuna ajuaye kesho. Ukiwa na cheo au madaraka makubwa kazini usiwadharau walio chini yako, huenda kesho wakawa maboss zako.
Potifa alikua mkuu wa gereza kule Misri, akamuona Yusufu kama kijakazi aliyejaribu kumbaka mke wake, akamtupa gerezani. Lakini baadae Yusufu akawa Waziri Mkuu na Potifa akawa anatii na kutekeleza maagizo ya Yusufu.
Wakati Majaliwa akiwa DC Rufiji, alikua anaripoti kwa RC Pwani Magesa Mulongo na Waziri wa TAMISEMI Stephen Wassira. Leo wote wawili hawapo tena serikalini.
Majaliwa alipoteuliwa Naibu Waziri TAMISEMI alikua anaripoti kwa Kepteni George Mkuchika. Leo mzee Mkuchika ndiye anayeripoti kwa Majaliwa.
Maisha ni mzunguko. Ukifanikiwa usijae kiburi ukadhani ndio mwisho wa safari. Al-Bashir alikua na madaraka makubwa na pesa nyingi. Lakini leo ni mfungwa. Anakula, kulala na kuamka kwa amri. Hana tena hiyari ya maisha yake.
Na pia ukikosa leo usikate tamaa ukadhani Mungu amekuacha. Bado lipo tumaini. Anayekudharau kwa sababu ni 'Housegirl' kesho unaweza kuolewa na Rais ukawa first lady na akakuheshimu.
Wana wa Israel walipowekwa mateka kule Babeli, Esta na mjomba wake Mordekai wa
COMMERCIAL PLOT NA PIA NI BEACH PLOT NZURI SANA INAUZWA IPO MIKOCHENI B". UKUBWA SQM 11,130 SAWA NA ( 2.75 ACRES). IMEGUSA MWAI KIBAKI ROAD NA NYUMA INATAZAMA BAHARI. NI PROPERTY NZURI SANA PANAFAA KWA UWEKEZAJI. BEI USD $ 3.8 MILLION MAONGEZI YAPO.
Property inauzwa ipo Gerezani City Centre inatazama Sokoine Drive Road imepakana na bandari iko jirani na jengo la water front na pia kutoka site kwenda BP Makao Makuu - Puma unatembea mita 200 tu. ( Plot size: 1,097 Sqm ) hizo mita 33.60 kwenye mchoro ndio zimegusa main road.
Panafaa kujenga ofisi, hotel, showroom, customs bounded warehouse nk.
YARD INAUZWA IPO TABATA INDUSTRIAL AREA NI PLOT YA PILI KUTOKA BARABARA YA MANDELA ROAD. PLOT SIZE: 5.5 ACRES IKO FENCED. CLEAN TITLE DEED AVAILABLE.
- PRICE $ 4.8 MIL MAONGEZI YAPO.
PLOT KUBWA YA BIASHARA INAUZWA MBWENI JKT IMETIZAMANA NA LAMI
Plot kubwa nzuri inauzwa mbweni JKT
Plot size: 9 Acres
- Panafaa kujenga Majengo makubwa ya biashara, Nyumba za miradi,Apartments, Hotel, Hostel, Hospital, Chuo,Shule,Nyumba za Ibada nk.
Karibu sana kwenye Kulasa za Dovillen Property
Facebook, Instagram, twitter, Jamiiforums nk
Kama unahitaji kuuza au kununua nyumba, viwanja,yard, maeneo ya kujenga petrol station nk
POSTA,UPANGA, MASAKI, MSASANI, MIKOCHENI, MBEZI BEACH, BAHARI BEACH, UNUNIO, MBWENI, NA DODOMA PAMOJA NA MAENEO MENGINE YA MJINI
Wasiliana nasi kwa 0756060183
Namba hii ya simu Inapatikana WhatsApp pia unaweza kutuma picha pamoja na maelezo ya kile unachohitaji kuuza au kununua pia