dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #2,901
Acre 3 ni sawa na square metre 12000PLOT KUBWA YA BIASHARA INAUZWA GOBA NJIA YA MADALE
GOBA madale Road
Ni ya 2kutoka rami n barabara pana magari makubwa yanapita
Plot size: 3 acres
Panafaa kujenga Majengo makubwa ya biashara,Godaun, YARD, shoppingcentre, Garage,Nyumba za miradi,Apartments, Hotel, Hostel,Hospital, Chuo,nk
- Bei USD 1m
0756060183
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Itakua washastua mzuka au vantAcre 3 ni sawa na square metre 12000
Una maanisha square metre 1 ni sh 200,000??
Yaani hilo eneo square metre 1000 ni milion 200??
Goba ina bei kwa sasa lakini sio hizi zako
Mnaandikaga hizi bei mkiwa sober?
Hawa huwa wanajizima data, mbweni yenyewe kiwanja cha square metre 1000 hakijafika million. 200. Alafu goba tena njia ya madale uuze hizo bei[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Itakua washastua mzuka au vant
Samahani mkuu hizi bei wanatupa wenyewe sisi kazi yetu ni kutangaza na kutafuta wateja. Tunawashauri wauzaji ila baadhi yao wanakuambia hiyo ndio bei yangu ukiweza kutafuta mteja sawa na ukishindwa nitauza kwa wengineAcre 3 ni sawa na square metre 12000
Una maanisha square metre 1 ni sh 200,000??
Yaani hilo eneo square metre 1000 ni milion 200??
Goba ina bei kwa sasa lakini sio hizi zako
Mnaandikaga hizi bei mkiwa sober?
Hapana mkuu. Hiyo bei ni ya mwenyewe. Mimi malipo yangu ni commotion ya kawaida tena tunajadiriana kwa pamoja na mnunuziHawa huwa wanajizima data, mbweni yenyewe kiwanja cha square metre 1000 hakijafika million. 200. Alafu goba tena njia ya madale uuze hizo bei