dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #2,981
Tunapatikana piaMikoani hamtumi?
Wakutumie hiko kiwanja cha kigamboniMikoani hamtumi?
Bei kurudi kama kipindi cha mzee wa msoga sababu kubwa ni kwamba kwa sasa wanunuzi ni wengi tofauti na kipindi cha awamu ya tano. Kama unavyojua hali ya soko inategemeana na mahitaji ya hiyo bidhaa kuhitajika na watu wengi.Mzee mbona properties Dar zimepanda sana? Nimeona hapo juu ardhi salasala mpaka billion. Issue ni nini? Siku hizi mbezi beach plot ya sqm 1000-1200 inaenda mpaka 700m, nini chanzo? Tumerudi enzi za mkwere? Au watu wanaiba pesa na wanaficha kwenye properties.
hebu Kiongozi fanya analysis Kadogo kama mdau wa sector ya real estate na sisi tujifunze.
[emoji1]Wakutumie hiko kiwanja cha kigamboni
Goba Kulangwa, Kinyerezi, Salasala ni maeneo yenye miunuko aina ya 'plateau' ambapo mandhari yake inavutia kwa sababu ya uwepo wa upepo wa bahari unaoleta hewa nzuri.Mzee mbona properties Dar zimepanda sana? Nimeona hapo juu ardhi salasala mpaka billion. Issue ni nini? Siku hizi mbezi beach plot ya sqm 1000-1200 inaenda mpaka 700m, nini chanzo? Tumerudi enzi za mkwere? Au watu wanaiba pesa na wanaficha kwenye properties.
hebu Kiongozi fanya analysis Kadogo kama mdau wa sector ya real estate na sisi tujifunze.