dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #601
Ndio mkuu ila inabidi utembelee ujionee mwenyewe mji uko vzr sana.Aisee kumbe ni kipande sema labda kwavile kule hamna foleni....
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mji mzuri sana huu mkuu..karibu sana KigamboniAisee kumbe ni kipande sema labda kwavile kule hamna foleni....
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ooh sawa mkuu ila mitaa iko vzr sana ungefika kuona nadhani ungependa na hii bei inapungua snaDege mbali sanaaaa
Nitafutie GezaOoh sawa mkuu ila mitaa iko vzr sana ungefika kuona nadhani ungependa na hii bei inapungua sna
Ok sawaNitafutie Geza
Umeona eeh mkuuChuma!
Kweli kabisa mkuu na asante sanaMkuu hii ndinga utauza tu,ipo kwenye hali nzuri lakini bei rafiki.
Karibu mkuu bei tumepunguzaHakuna Nyumba Ya Mil 90 Hapo ,
Mkuu hapa na Geza mbona ni jirani kabisaNitafutie Geza
Hahaa tupambane mkuu, uzuri ni kwamba Mungu ni wa wote.Dah, tatizo ulofa.
Mkuu umepotelea wapi ? Karibu tuongee biashara umiliki ardhiMkuu..dege mbali kwa bei hyo na sqm hzo punguza bei iwe reasonable.....fanya 8 m
Nambie ndg we unataka kunipa ngapiNikupe 9.5 halafu nijengee na nin?