Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Kiwanja kizuri sana kinauzwa kipo Kigamboni Dege Mtaa wa tatu kutoka Lami
Viwanja maneo hayo vyote vimepimwa.
Ukubwa 700 SQM

Bei Tsh 9.5

Tuwasiliane uje umiliki ardhi 0756060183

Mliozoea kukaa mbagala viwanja laki mbili mna shida sana
Aliyekwambia Mbagala kiwanja laki mbili nani?? Mbona mnapenda kuishusha hadhi mbagala kiasi hiki tofauti na uhalisia wake? Hiyo Kijichi unayoiskia viwanja mpaka mil 200 iko wapi?
 
Shamba lipo Bagamoyo Mjini kabisa karibu na chuo cha sanaa cha Kaole.
Na pia shamba liko km 1 kutoka beach
Ukubwa heka 10
Panafaa kujenga shule, kiwanda,makazi nk
Hati ipo.
Bei Tsh 265m
Maongezi zaidi 0756060183

Aliyekwambia Mbagala kiwanja laki mbili nani?? Mbona mnapenda kuishusha hadhi mbagala kiasi hiki tofauti na uhalisia wake? Hiyo Kijichi unayoiskia viwanja mpaka mil 200 iko wapi?
Kusema kweli mbagara ni mjini asikuambie mtu aiseh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…