dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #981
Hahaaa duh umenifrahisha sana mkuu ila bei za viwanja zinategemeana na sehemu husikaMshaanza! Kiwanja tu 250M?! Mjomba Magu, kurupuka urudi duniani manake wakina Dovillen washaanza huku!
Pamoja sana mkuuAhsante kwa taarifa...
Kwa wenyeji wa kule, wanajua kutofautisha kati ya Kijichi, Mbagala Kuu, na Mbagala! Mbagala Kuu ina-play parts 2; moja kama Kata na pili kama Kitongoji! Kwahiyo ni sahihi kusema Kijichi Mbagala Kuu, kwa maana ya Kijichi ipo Kata ya Mbagala Kuu! Lakini kama nyumba ipo exclusively eneo la Kijichi na sio Mbagala Kuu, basi hilo neno Mbagala Kuu achana nalo kwa sababu ni watu wachache sana Dar es salaam wanaoweza kutofautisha kati ya Mbagala na Mbagala Kuu! Majority wakisikia Mbagala Kuu, akili moja kwa moja ItaWApeleka Mbagala ambayo kwa kawaida,hususani linapokuja suala la real estate, Mbagala HAIUZI vizuri hususani kwa hizo milion 100 na ushehe! Kwa wanaofahamu, Mbagala Kuu ni kuzuri sana!HOUSE FOR SALE
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Located at Kijichi - Mbagala Kuu
--- 4 Bedrooms House (2 Self)
Asant sana kwa ufafanuzi na ushauri wako mkuu..nitaufanyia kaziKwa wenyeji wa kule, wanajua kutofautisha kati ya Kijichi, Mbagala Kuu, na Mbagala! Mbagala Kuu ina-play parts 2; moja kama Kata na pili kama Kitongoji! Kwahiyo ni sahihi kusema Kijichi Mbagala Kuu, kwa maana ya Kijichi ipo Kata ya Mbagala Kuu! Lakini kama nyumba ipo exclusively eneo la Kijichi na sio Mbagala Kuu, basi hilo neno Mbagala Kuu achana nalo kwa sababu ni watu wachache sana Dar es salaam wanaoweza kutofautisha kati ya Mbagala na Mbagala Kuu! Majority wakisikia Mbagala Kuu, akili moja kwa moja ItaWApeleka Mbagala ambayo kwa kawaida,hususani linapokuja suala la real estate, Mbagala HAIUZI vizuri hususani kwa hizo milion 100 na ushehe! Kwa wanaofahamu, Mbagala Kuu ni kuzuri sana!
Mkuu hiyo ni bei ya kuanzia ila maongezi yapo,,karibu uone nyumba na utoe ofa yako yamkini mwenyewe akakusikilizaHata Mil 80 ni nyingi mno kwa hilo pagale. Madalali Wa siku hizi bwana!
Focus kwenye long term! Sasa wewe unataka kutajirikia kwenye nyumba moja! Nonsense!!
Mkuu karibu uone nyumba haya mengine yanaongelekaHiyo mil 70
Hahaha sawa mkuuHebu acheni MZAHA, ipeni 150M heshima yake.
Mkuu hii ni nyumba na sio pagale na pia kingine eneo linafec lami kama linavyoonekana kwahyo unaweza kufanya chochote hapo kama biashara nk..karibu ndg bei Ina maongeziPagale hilo 150m?
Umekosea pia japo umejitahidi iko hivi KIJICHI inajitegemea kwa Sasa ni kata kamili ambayo ina diwani wake,na MBAGALA KUU inajitegemea na ina diwani wakeKwa wenyeji wa kule, wanajua kutofautisha kati ya Kijichi, Mbagala Kuu, na Mbagala! Mbagala Kuu ina-play parts 2; moja kama Kata na pili kama Kitongoji! Kwahiyo ni sahihi kusema Kijichi Mbagala Kuu, kwa maana ya Kijichi ipo Kata ya Mbagala Kuu! Lakini kama nyumba ipo exclusively eneo la Kijichi na sio Mbagala Kuu, basi hilo neno Mbagala Kuu achana nalo kwa sababu ni watu wachache sana Dar es salaam wanaoweza kutofautisha kati ya Mbagala na Mbagala Kuu! Majority wakisikia Mbagala Kuu, akili moja kwa moja ItaWApeleka Mbagala ambayo kwa kawaida,hususani linapokuja suala la real estate, Mbagala HAIUZI vizuri hususani kwa hizo milion 100 na ushehe! Kwa wanaofahamu, Mbagala Kuu ni kuzuri sana!
Asante kwa ufafanuzi mkuuUmekosea pia japo umejitahidi iko hivi KIJICHI inajitegemea kwa Sasa ni kata kamili ambayo ina diwani wake,na MBAGALA KUU inajitegemea na ina diwani wake
KATA YA KIJICHI
ina mitaa
-MTONI KIJICHI
-BUTIAMA
-MISHENI
-MWANAMTOTI
-MGENI NANI
-MIANDE
-NELUKA
MBAGALA KUU
-KIBONDE MAJI
-KICHEMCHEM
-NJIA YA NG'OMBE
-VIKUNAI
N.K
Hivyo hiyo nyumba ipo kata Ya MBAGALA KUU KARIBU NA MTAA WA KICHEMCHEM na ipo opposite na msikiti kwa mbele kidogo panaitwa kwa Damdam haipo KIJICHI.