Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Barabara za hayo maboma vipi. Kwa ufupi sijakielewa vizuri
Mkuu ili ukielewe vzr ni vyema ukafika eneo la tukio. Ila kukuhakikishia tu ni kwamba maeneo haya yamepimwa na mitaa ni mizuri na mipana hivyo hapo ni viwanja 2 na kila kimoja ni 850 SQM bei Tsh 85m na unaweza kuchukua vyote jumla ya 1700 SQm kwa Tsh 170m
 
Anakupanga huyo hamna lolote. Yeye Tu kaongeza cha juu Sana. Au kachukua maelekezo toka kwa dalali kama wa nne kwenye msururu. Madalali hawaendi mbinguni
Hapana mkuu mpaka ukiona nimeitangaza kazi hapa ujue nimekabidhiwa na mwenyewe na baadhi ya kazi napewa humu humu ndani na wadau..kwahyo kuwa na amani we njoo uone nyumba na uongee na mwenyewe utampa ofa yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…