Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Sina uhakika na hili mkuu ila kwa uhakika tu naomba uje nikuonyeshe eneo na Title deed ya eneo ili ujue hakuna ugomvi na Serikali wala mtu yoyote
 
Mkuu nipigie 0756060183 tuongee na nikuulezee kuhusu hili
 
Wadau karibu kwa ofa...tumejadiriana na mwenye kiwanja tumekubariana kupunguza bei
 
Kitu hicho inapangishwa. IPO songambele UNUNIO. Mita 100 Rami. Nyumba Ina vyumba 3, kimoja master bedroom, sitting room, dinning room, kitchen cabinets, public toilet, ndani kwenye fence and gate. Stand alone [emoji536]. BEI NI LAKI 5. FIXED PRICE. KODI MIEZI 6 .
Maongezi zaidi 0756060183View attachment 1931132

 
Nyumba ya ghorofa inauzwa ununio

Nyumba ina vyumba vitano na kati ya hivyo 2 ni self.
Na pia kuna nyumba ya chumba na sebule na choo chake kwa nyuma.

Size plot 1000 SQM
Bei 450m

Bei hii ina maongezi
Na zaidi ongea nami kwa 0756060183

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…