dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #1,641
Karibu mkuu
Asante sana mkuuKila la heri
Mtaa wa pili kutoka lami upande upi? wa kuelekea beach au wa kuelekea bagamoyo road?Nyumba ya ghorofa inauzwa Ununio
Nyumba ina vyumba 5 vyote ni self
Size plot 1200 SQM
Mtaa wa pili kutoka lami
Bei Tsh 450m
Maongezi zaidi 0756060183View attachment 2003995View attachment 2003996View attachment 2003997View attachment 2003999View attachment 2004000
Karibu mkuu uje uone nyumba haya mengine yanaongeleka huwezi jua mkaelewanaMkuu haipungui!?
Niseme nina 200M kama hutajari chukua
Barabara hii ya ununio kama unaelekea bagamoyo ni mtaa wa pili kushoto kwako..kuna garden maafu inaitwa masai mara ndio mitaa hiiMtaa wa pili kutoka lami upande upi? wa kuelekea beach au wa kuelekea bagamoyo road?
Asante sana mkuuSafi sana inavutia inapendeza
Hilo haliwezi kuwa shamba bali ni kiwanja!Shamba lipo bagamoyo jirani kabisa na inapojengwa bandari mpya na pia ni jirani na chuo cha Kaole.
Eneo lina ukubwa wa heka 10 na limepimwa lina hati.
Bei Tsh 290m
Maongezi zaidi 0756060183View attachment 2005463View attachment 2005464
Ila hizi ni heka kumi (10) mkuuHilo haliwezi kuwa shamba bali ni kiwanja!
Shamba ni laki 3 kwa heka.
Asant sana mkuuEneo ni kubwa.
Mkuu nyumba ipo.karibu uje uioneMkuu sioni nyumba hapo. Samahani lakini