Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Nyumba ya ghorofa inauzwa ipo Mbweni JKT
Nyumba ni ya kisasa kabisa, ina vyumba 5 na vyote ni self
Na pia ina nyumba ndogo kwa nyuma.
Size plot 1500 SQM
Bei Tsh. 650m Maongezi zaidi yapo


 
Reactions: Lee
Hiyo bei ya dalali au mwenye mjengo
 
Hiyo bei ya dalali au mwenye mjengo
Mkuu bei ya mwenyewe hii. na ina maongezi, karibu sana na pia nina nyingine za bei pungufu kidogo.

Picha na maelezo zaidi unaweza kunichk kwenye WhatsApp no 0756060183
 
Wadau nyumba imepungua bei sana mwenyewe anauhitaji wa hela. Karibu kwa ofa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…