Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
Hivi ni tumelogwa au tumerogwa?acha kutania kazi za watu. Hivi watanzania tukoje? tumelogwa?
Yeah kweli kabisa mkuu lazima iwe hivyoDaaa nilistuka sana hiyo bei bosi
Mkuu anzisha uzi wako hapa unachanganya.Nauza viwanja vilivyopimwa vipo Kiluvya Dar es Salaam. Bei ni 4m kwa aliye serious ani PM
Pamoja sana mkuuAhsante kwa taarifa...
[emoji116] hii hapa mkuuNi umbali gani kutoka Feri ?
Ok..[emoji116] hii hapa mkuuView attachment 2012442
Kimbiji mbali sana kidogoOk..
Itakuwa karibu na Kimbiji
Sivyo..Kimbiji mbali sana kidogoView attachment 2013720
OK sawa mkuuSivyo..
Feri hadi Kimbiji ni km 36 hivi
36 Km - Distance from Kigamboni Ferry Terminal to kimbiji
36 Km - Distance from Kigamboni Ferry Terminal to kimbijiwww.distancesfrom.com
Yeah kiwanja kipo safi na salama ila mkasi sana 😂Wadau bado napokea ofa zenu kiwanja kikali sana hiki
Hahaa wahi mkuu nimeleta dili hili ujue mwaka mmoja tu unauza 50m.changamkia fulsa kuliko kuweka hela kwenye ac wenzio wanazikopa na kutajirikaYeah kiwanja kipo safi na salama ila mkasi sana [emoji23]