Weka picha kamili, sio nusunusu kama ulivyofanyaKiwanja kinapatikana KITUNDA, Kivule
Kutoka barabara mpya ya lami inayojengwa ni meter 500
Kutoka nyerere road (banana) ni km 6
Kutoka KITUNDA mwisho ni km 3
Ukubwa wa kiwanja ni meter 25*20 (sqm 500)
Huduma muhimu zinapatikana
#barabara, maji na umeme
KIWANJA chote ni tambarare
Njia ya gari inafika mpaka kwenye KIWANJA.
BEI: 4.5M
mawasiliano: 0785 857564
View attachment 1260402View attachment 1260403View attachment 1260404View attachment 1260405
Dar ni dar tu mkuuDar viwanja na nyumba hazina thamani tena,Serikali imeshamia dodoma ngoja tuone uko dodoma jinsi viwanja vitakapokuwa na gharama zaidi ya dar