Plot4Sale Tunauza Nyumba, Viwanja na Mashamba. Tupo Dar

Habari Wana jukwaa
Nyumba inauzwa,
✓ Ipo KITUNDA , mwanagati (wilaya ya ilala)
✓ Ina vyumba vitatu (kimoja ni self)
✓ Seating room, jiko na public toilet
✓ Floor ni ya kawaida
✓ Gypsum board
✓ Parking ya gari moja
✓ Maji, umeme
✓ Ipo kwenye barabara ya mtaa

N.b Kutoka Banana Hadi kwenye nyumba ni km 6
Bei: TSH 25m

Mawasiliano: 0785 857564


 
Ukanda airport yote kitunda,kivule huko sijui gongo lamboto,chanika, pugu yaani naona vurugu tuu bila kusahau mbagala....
Hahahahahah huko wamejaa waswahili ndio maana kumezubaa zubaa 😂😂😂 inshort Kilwa Road kumekaa kushoto. Unyama ni Bagamoyo Road na Morogoro Road. Kule lazma kuendelee maana waumini wa itikadi za Mshana Jr hawakuwa wengi
 
Ukubwa wa kiwanja?
 
Habari Wana jukwaa
✓Nyumba ina chumba kimoja self contained
Seating room, open kitchen na public toilet
Full tiles, gypsums na feni (seating room na chumbani.
✓ maji na umeme unajitegemea
Mahali ilipo: nyumba ipo KITUNDA
Kutoka banana unapanda gari moja tu.
✓ kutoka stand Hadi kwenye nyumba ni mwendo wa dakika 3
Kodi: Kodi kwa mwezi ni TSH 80,000/(kuanzia miezi 3+)


Mawasiliano: 0785 857564




 
Gheto safi sana kwa kugegedea.
mawardat na sophy27 nilishpata gheto njooni
 
Hakuna migogoro ya kifamilia au benki? Maana unaweza kununua baadae ukawa unashinda mahakamani tu kesi haziishi, ni dalali au mmiliki?
 
Hakuna migogoro ya kifamilia au benki? maana unaweza kununua baadae ukawa unashida mahakamani tu kesi haziishi, ni dalali au mmiliki
Kabla ya yote ni lazima ujiridhishe kwanza
Ndipo ufanye maamuzi
Nyumba ni ya mtu binafsi sio ya familia
 
Mm naogopa kuwa single maza 🤣🤣🤣
Kwani kugegedana ndio mpaka mimba mrembo. Sie twagegeduana kuburudishana.
Usijali wee sio mla nauli. Wala nauli ndio tunawajaza mimba makusudi waishie kuwa single maza.
Mtoto wetu yule ajambo lakini.
 
Hahahahahah huko wamejaa waswahili ndio maana kumezubaa zubaa [emoji23][emoji23][emoji23] inshort Kilwa Road kumekaa kushoto. Unyama ni Bagamoyo Road na Morogoro Road. Kule lazma kuendelee maana waumini wa itikadi za Mshana Jr hawakuwa wengi
Very true mkuu ...Morogoro road na Bagamoyo road ..Pana nafasi ya kuendelea kwa haraka

Kuanzia kibaha to chalinze ni sehemu nzuri sana kununua Ardhi ... Kuna uwezekano mkubwa miaka ya baadaye Mwendokasi ukafika mpaka chalinze

From dsm to chalinze ni 100km tuu ...Hii barabara ya kibaha to chalinze ikija tanuliwa ikawa double road Maendeleo yatakuja kwa kasi sana

Na pia Treni ya mwendokasi ikikamilika na kuanza safari za Dar to morogoro ..huu ukanda wa kibaha to chalinze utakua kwa kasi sana....

Bandari kavu kule vigwaza ikikamilika na serikali ikatilia mkazo containers zikawa zinapokelewa kule Watu ndo wataelewa jinsi gan Kibaha to chalinze very potential area

Tusisahau pia Mkoa wa pwani Ndo unaongoza kwa viwanda vingi Hususani ukanda wa Kibaha,bagamoyo na chalinze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…