Plot4Sale Tunauza Nyumba, Viwanja na Mashamba. Tupo Dar

Very true mkuu!
Umeandika nondo sana.
Ila sasa wote tukiishi/tukiwekeza huko (Chalinze, Kibaha, Bagamoyo) tutatosha kweli?
 
Ni kweli wazee wetu leo hii wanajuta ndugu yetu alikuwa mwanajeshi anasema walipewa viwanja eneo la Kunduchi wakavikataa wakisema porini tena walifatwa kambini na wenyeviti wa vijiji wakaambiwa mje mchukue viwanja kwanini mnatoka mbali kuja kazini na kurudi njooni mchukue viwanja mjenge muwe karibu na kazini kwenu, cha ajabu walikataa lakini leo hii Kunduchi beach wanakaa matajiri huku wao wanaishi nje mji wengine vijijini huko mikoani.
 
Mkaribie Kibaha fully Lami bei za viwanja ni chee
Ukitoka NIDA kuelekea Pangani - Bagamoyo kuna wawekezaji wanatengeneza Bandari kavu eneo lile kuna viwanja kibao vinauzwa ... maji yapo na huduma ya umeme pia ipo

Karibuni Kibaha
Bei gani mkuu?
 
Hahahahahah huko wamejaa waswahili ndio maana kumezubaa zubaa 😂😂😂 inshort Kilwa Road kumekaa kushoto. Unyama ni Bagamoyo Road na Morogoro Road. Kule lazma kuendelee maana waumini wa itikadi za Mshana Jr hawakuwa wengi

Kilwa road ni nzuri sana kwa viwanja vya biashara.

Ukitaka jenga fremu za biashara zikulipe point viwanja pande hizo..

Maana population ni kubwa sana kunajaa haraka sana.

Kibiashara sehemu yoyote yenye idadi ya watu maana yake kuna idadi kubwa ya wateja
 
Ahahaah hatuwezi tosha ..ila nimejaribu kuchanganua faida zilizopo ukanda wa Kibaha na Bagamoyo compare to Kilwa road (kisemivule,vikindu mkuranga) na Pugu road (Chanika n.k)

Sent using Jamii Forums mobile app


Kilwa road (Kisemvule,vikindu mkuranga) na Pugu road (Chanika n.k)

Ukitaka jenga fremu za biashara zikulipe point viwanja pande hizo za Kilwa road..

Maana population ni kubwa sana huko. Na hata sehemu za porini za huko huwa kunajaa haraka sana.

Kibiashara sehemu yoyote yenye idadi ya watu maana yake kuna idadi kubwa ya wateja.
 
Hello JamiiForums members
Plot is on sale
It has 400 square meter
(Meter 20×20)
Plot is located at Jet lumo (kwa gude)
500m from Nyerere road
The plot is Suitable for small industry buildings, yard, godowns, hotel buildings, apartments or other investments

Offer: 100m

Mobile: 0785 857564


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…