Toto la bi shayo plumber
Member
- Jan 31, 2023
- 7
- 0
Ahsante.
Kitchen sink double ni bei gani boss
Mbona bei kubwa sana?
Ahsante mtalaaminategemea na aina ya steel au ugumu wa iyo k/sink ila kuna ya 130,000 bila cork,160,000 bila cork na 190,000 bila cork zote izo unapewa k/sink ikiwa na b/trap yake
heater za ariston bei yake ikoje?
Ngoja nibetie Simba leo nakuja