Tunauza pump na generator kubwa kubwa (9.5kva-2500kva)

MANK

Member
Joined
Jul 23, 2017
Posts
8
Reaction score
3
Habari za mihangaiko wanajukwaa, bila shaka MKO Salama na ni Jambo la Kumshukuru Mungu kwa nafasi hiyo.
kama kichwa cha habari kinavyojieleza toka hapo juu, tunauza pump za maji(surface and submersible water pumps) toka italy hizi zinawafaa sana watu wa water supply projects, visima vya maji,kilimo cha umwagiliaji n.k. vilevile pia tunauza generators zenye uwezo mkubwa na mdogo kuanzia 9.5KVA - 2500KVA Manufactured from UK.
tuandikie mahitaji kupitia email address mankmank804@gmail.com ,contact no 0753918347, quick response ipo.
KALIBUNI SANA,
 

Attachments

  • C10574195.jpg
    25.5 KB · Views: 124
  • csm_bg_6b59bf9066.jpg
    56.1 KB · Views: 141
  • oz6-fz6-202x300.jpeg
    9.4 KB · Views: 124
Elimu,
Elimu,
Elimu.
Yaani kuuza uuze wewe kisha Quotation niandike mie Mteja??
Ushaona wapi hii kitu??
Au Huelewi maana ya Quotation?
 
Elimu,
Elimu,
Elimu.
Yaani kuuza uuze wewe kisha Quotation niandike mie Mteja??
Ushaona wapi hii kitu??
Au Huelewi maana ya Quotation?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu ungemshauri tu kulikoni ulivyoanza kwa namna ya kumshushua.

Nashauri asiwe mvivu
Aweke picha na bei.
Naweza kuwa mteja wa jenereta kubwa endapo bei ni nzuri.
 
Shukran kwa elimu shark,kalibu sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu ungemshauri tu kulikoni ulivyoanza kwa namna ya kumshushua.

Nashauri asiwe mvivu
Aweke picha na bei.
Naweza kuwa mteja wa jenereta kubwa endapo bei ni nzuri.
Kalibu kiongozi,bei inategemea na generator lenye load kiasi gani unataka maana yapo yenye uwezo tofauti tofauti.
Kalibu sana.
 
Kalibu kiongozi,bei inategemea na generator lenye load kiasi gani unataka maana yapo yenye uwezo tofauti tofauti.
Kalibu sana.
Boss natamani msiwe wavivu na biashara.
Orodhesha bei na uwezo wa jenereta halafu mtu achague akupigie
 
Shukran kwa elimu shark,kalibu sana
Mimi kama mteja natakiwa nije kwako wewe muuzaji ili WEWE uniandalie mimi Quotation/Proforma invoice kisha mimi kwa bei utakazonipa kama nitaridhika nazo ndio naenda kuandaa (Local) Purchase Order.

Nikishakuja na LPO iliyoambatana na Quotation yako, wewe utanipa Mzigo na Invoice, na kama ni mzigo wenye kuhusisha Kodi basi invoice utakayonipa itakua ni Tax Invoice. Kama nimeulipia Cash utalazimika kunipa na Risiti pia ya malipo.

Kama ni mzigo ambao utaniletea wewe muuzaji mpaka ofisini kwangu basi utahitajika kua na delivery note ili mimi nikiupokea basi ni saini kwenye hiyo delivery note yako. Na kama ni mzigo wa Credit basi unaweza usinipatie Invoice hapo hapo, bali utachukua Delivery note uambatanishe na Invoice ndio unitumie. Delivery note ni ishara kua mzigo unaonidai niliupokea.
 
Boss natamani msiwe wavivu na biashara.
Orodhesha bei na uwezo wa jenereta halafu mtu achague akupigie
Shukran kwa ushauri, magenerator kaka yapo mengi ,inakuwa ni ngumu kwamba niweke lipi niache lipi ,lkn kama ni mhitaji tutafutane kupitia contact hizo, ushauri pia tunatoa kuhusu ni generator lenye uwezo gani achukue, hii nikulingana na Matumizi ya mteja,
 
Hizo water pump.za umwagiliaji ni za diesel? Nchi ngap?na bei hata sampo tu acha upopoma
 
Weka chache na Bei zake, usiwe mvivu kupita kiasi, kwani huwez kusumarize kitu kikubwa kikaeleweka ndani ya melezo machache
 
Pump za umwagiliaji ni bei gani, ndogo tuu kwa ajil ya shamba heka moja ivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…