Tunauza ramani na kufanya ukadiriaji wa material ya ujenzi

Tunauza ramani na kufanya ukadiriaji wa material ya ujenzi

becknature

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2017
Posts
665
Reaction score
825
Habari wakuu poleni na majumu,

Kutokana na changamoto naiona watu kuomba sana gharama za materials ya ujenzi, naomba niwape taarifa kua naweza kukupatia gharama zako zote za ujenzi kuanzia msingi, boma na uezekaji wa paa, nakuandalia schedule of material au BOQ, kwa gharama nafuu kabisa.

Note: hakikisha michoro iko detailed Pia vile vile kwa mahitaji ya ramani za nyumba bora na wa kisasa usisite kuwasiliana nami,

contact 0679851483 (hii iko whatsapp pia)
Baadhi ya 3d model za design niko nazo;
Image 02.png
Image 01.png

Four masterbedroom One bedroom and study Four masterbderoom
 
mm ni Quantity Surveyor ( mkadiliaji majenzi) kwa anayeitaji uduma ya kuandaliwa Boq ya kuonesha garama za ujenzi wa nyumba yake au kwa kuombea mkopo pia kuandaliwa materials ambayo yataonesha nyumba yake inatumia material gan na kias gan na garama kiasi gani pia ata ukitaka kujengewa kwa bei nafuu kabisa bila kusahau kuchorewa raman nzuri na bora nicheki watsap 0753757303 /0677400169/0658400165
 
Back
Top Bottom