Tunauza Rim paper aina karibia zote cartoon moja sh 65,000/= unatumiwa mpaka mkoani

Tunauza Rim paper aina karibia zote cartoon moja sh 65,000/= unatumiwa mpaka mkoani

dennoo_appliances

Senior Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
136
Reaction score
192
Kama Tangazo linavyosema tunauza rim paper cartoon moja sh 65,000/= kwa aina zote za rim, kwa aliyeko dar ukichukua cartoon Zaid ya mbili unaletewa bure na tunatuma mpaka mikoani zifuatazo ni mfano wa zilizopo.

255713520180

Screenshot_20221001-104628~2.png
Screenshot_20221001-104746~2.png
 
Kama Tangazo linavyosema tunauza rim paper cartoon moja sh 65,000/= kwa aina zote za rim, kwa aliyeko dar ukichukua cartoon Zaid ya mbili unaletewa bure na tunatuma mpaka mikoani
Carton in RIM ngap?
 
Lini zitarejea kwenye ile bei yetu ya jumla ya zamani, ya elfu 30-50?

Huyu mama bhana! Tangu aingie madarakani bidhaa nyingi zimepanda bei maradufu eti!!
 
Yeye ndiye aliyeingia madarakani dunia nzima ikakumbwa na inflation?
 
Kama Tangazo linavyosema tunauza rim paper cartoon moja sh 65,000/= kwa aina zote za rim, kwa aliyeko dar ukichukua cartoon Zaid ya mbili unaletewa bure na tunatuma mpaka mikoani zifuatazo ni mfano wa zilizopo
255713520180
65000/5 =13,000 each. Huu uchumi wa kati. Daftari za maskini moja TZS 800/=
 
Back
Top Bottom