Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FactUngeweka na bei. Pia useme hiyo bei inahusisha au haihusishi nini.
Kwa mfano
Ninauza rozella kwa bei ya Tsh 5000 kwa kilo. Bei inajumuisha na gharama za kupeleka mzigo sehemu ya kutumia. Gharama za kutuma mzigo ni za mteja.
Au bei ni .... ukinunua kuanzia kilo... nitakutmia bure.
Mtu atakayekutafuta hatakuwa na maswali mengi.
Asante