Ungeweka na bei. Pia useme hiyo bei inahusisha au haihusishi nini.
Kwa mfano
Ninauza rozella kwa bei ya Tsh 5000 kwa kilo. Bei inajumuisha na gharama za kupeleka mzigo sehemu ya kutumia. Gharama za kutuma mzigo ni za mteja.
Au bei ni .... ukinunua kuanzia kilo... nitakutmia bure.
Mtu atakayekutafuta hatakuwa na maswali mengi.
Asante