Jackson996
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 773
- 1,355
Uweke na bei kwa kila saa , au ndio unataka kutulazimisha tuje whatsapp au PM?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaa hapana bana mkuumkizivaa mnatakiwa mtembee pamoja muda wote ndiyo zinafanya kazi.
Kuliko nivae hii fake ni bora nivae bangili la kimasai lina hadhi zaidi. Na mbaya zaidi wamechagua zile brand za bei ghali wakatengeneza fake zake.Uweke na bei kwa kila saa , au ndio unataka kutulazimisha tuje whatsapp au PM?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji849][emoji849]Salhat njoo huku mambo mazuri yamewekwa hadhari uninunilie mmeo
nataka yenye mkanda wa ngozi, ipo?DIESEL COUPLES [emoji91]
[emoji298]️Zinakuwa mbili ya kike na kiume
[emoji298]️Inaonyesha saa na tarehe
[emoji298]Warranty one year
BEI 80000/=
Call [emoji338] & Whatsapp [emoji390]0788929673
[emoji1631]DAR ES SALAAM TUNAFANYA DELIVERY
MIKOANI TUNATUMA [emoji591]View attachment 2379269
View attachment 2379270
View attachment 2379271
View attachment 2379272
View attachment 2379273
View attachment 2379274
View attachment 2379275
Acha basi mkuu wenzio wanunueAisee Mungu anisamehe, yaani kitu likiwa tu na makorokoro hivyo kwangu huwa ni tatizo tayar, i normally prefer simple things!!!
Nunua mkuu ili uwe unaitumia wakati wa mawingu kama Jua lisipo toka siku hiyo.Kwa uchumi huu ntaendelea kuangalia jua tuu.
Sawa ngoja nitafute ngawiraNunua mkuu ili uwe unaitumia wakati wa mawingu kama Jua lisipo toka siku hiyo.