Tunauza Samaki aina ya Sato

Tunauza Samaki aina ya Sato

BwanaSamaki012

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
212
Reaction score
250
Tunauza Samaki aina ya Sato kwa Bei ya TSH 9,000 tu kwa kilo moja

Kwenye kilo moja unapata samaki 4 - 6 wenye uzito wa 250g - 150g

Samaki wetu ni wakufugwa, wanafugwa kitaalamu na aquaculture experts, mabwawa yetu ni concrete pond hivyo samaki wetu Wana radha nzuri na muonekano mzuri Sana

Hakuna haja ya kula frozen fish, kula samaki natural (live fish) kutoka kwenye chanzo cha maji

Weka order yako na tukuletee hadi ulipo au fika Mabwawani kwetu maeneo ya Bunju B

Contact us for more info
0758779170
0657823408

IMG_20210908_074900.jpg
IMG_20210908_072504.jpg
 
View attachment 2630438View attachment 2630440View attachment 2630442
Hapo umewalindaje dhidi ya mwewe?
 
Samaki wa 250g sio sato ni perege, huku kwetu tunaita magege.
 
Back
Top Bottom