INAUZWA Tunauza Samaki Sato kwa bei ya jumla, karibu kwa order

INAUZWA Tunauza Samaki Sato kwa bei ya jumla, karibu kwa order

Samaki Limited

New Member
Joined
May 24, 2021
Posts
1
Reaction score
1
Tunauza samaki aina ya sato kutokea Ziwa Victoria..

Usafiri kutoka Mwanza hadi Dar juu yetu.

Tunauza kwa bei ya jumla tu, kuanzia kilo 50.

Bei:
Bei kwa kilo moja ni Tsh 8,500/-

Malipo:
Utalipia mzigo ukifishakufikia ulipo.

Location:
Tunapatikana, Banana Dar esalaam.

Delivery:
Tunafanya delivery gharama ni Tsh 10,000/- tu

Weka order mapema.

Mawasiliano: 0763739567

Karibuni!

sat.jpg
 
Back
Top Bottom