Tunauza samaki wa maji chumvi

Kwa maitaji ya samaki aina zote,jumla na rejareja wasiliana nasi kwa namba 0719438200/0711756654 pia tunafanya delivery kwa gharama nafuu.

Tupo ferry kivukoni Dar es salaam.
 
Mikoani unatuma kwa bei gani. Nipo Arusha.

Ila ni samaki au watoto wa samaki mkuu...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…