robert sendabishaka
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 3,111
- 3,294
Laptop zimejaa aliexpress huko. Nyembamba kama wembe sema tu ni brandy za mchina. Ila zina bei cheap na specs za kueleweka.
Ni aina ganiTangu nijiunge JF sijawahi ona Laptop unayouzwa ambayo imefikia hata 30% ya specifications za Laptop nilonayo.
Asante sana Baba Deborah kwa zawadi hii, naweza kukimbiza computational za MATLAB, huku naamsha project za LARAVEL, at the same time ADOBE inapiga mzigo background.
Ni aina gani
aisee,
Simulink ?
mostly naitumia kwenye Raspberry Pi ( a wale wenzake),Uko vizuri kwenye Python eeh?
Lenovo moja Kali sana. Nikutajie specifications?
Yes. And many more. Bado najifua kwenye Python, libraries zake bado sijazi catch up vizuri. Nikipata momentum naweka MATLAB kapuni.
Kwa sasa nachokijua kwenye Python ni kufungua Anaconda, naenda Jupiter Notebook, kisha kuandika matplotlib, numpy as np.
Mdogo mdogo tu. Sina papara
Uko vizuri kwenye Python eeh?
Mkuu tuletee basi hizo specs zake hapa!
Nikitulia jamani. Tangu mchana nashinda jikoni nina wageni nyumban.
Akinirudi usisahau kunitagi mkuuSawa mkuu!