Hz refubrish eti au ni orginal ngoja nimuite mtaalamu bwana National Anthem aje azibitishe Kama Ni halisi au lah [emoji23]
Sent from Germany technology
Naona lugha gongana hapa. Refurbished ni simu iliyotumika na ikafanyiwa service na kuifanya iweze kutumika. Kwa mfano kioo kinaweza kuwa kulipasuka wakaweka kingine, au betri ikabadilishwa, hivyo simu itabaki kuwa original labda tu iwe waliweka spares fake. Kuna makampuni mengi tu wanajihusisha kufanya hii kazi na ukinunua unapewa na guarantee ya matumizi kabisa.Hz refubrish eti au ni orginal ngoja nimuite mtaalamu bwana National Anthem aje azibitishe Kama Ni halisi au lah [emoji23]
Sent from Germany technology
nahtaji hi cm hua napenda tu mwonekano wake, naomba namba za hao wapemba au nielekeze mtaa waliopo pale kariakooWenzio wa pemba wa Kariakoo wanauza 110,000/=