INAUZWA Tunauza sit up bench, punching ball na Dumbell

Hiyo kitu ni kwa ajili ya akina mama/dada bila shaka!
 
Mkuu unaweza kuweka picha ya halisi kabisa ukiachana na hii ya mtandaoni, nimevutiwa nayo sana katika vita ya kupambana na huu mkutambi
 
Mkuu unaweza kuweka picha ya halisi kabisa ukiachana na hii ya mtandaoni, nimevutiwa nayo sana katika vita ya kupambana na huu mkutambi

Karibu sana Mkuu
Call/watsapp
0754234121
 

Attachments

  • Adjustments.JPG
    19.8 KB · Views: 4
Okey sawa boss ila tuna vifaa nya kila aina kwa ajiri ya mazoezi ngoja tuweke waka ajiri ya sample (six pack care 350,000 tsh)
Call 0754234121


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • 776a70a3-888c-4281-8ddd-c0c5282cb5aa.jpg
    43.2 KB · Views: 3
  • d71d5a10-a073-4319-990b-661eb4004f3b.jpg
    32.6 KB · Views: 2
Mkuu weka vyote tuone vitakavyotufaa
Okey sawa boss wangu ila tunavifaa vingi sana vya mazoezi hivi ni sample
Hii ab roller
Price:35,000 tsh
Husaidia tutoa nyama za tumbo na mazoezi ya mikono pia



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • 776a70a3-888c-4281-8ddd-c0c5282cb5aa.jpg
    43.2 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…