Kumekucha kumekucha!!!Huyu ni mwizi kuweni makini na Mussa.
Mimi kaniibia nilifahamiana naye humu ila ipo siku nitamshangazaNdugu Zangu Majizi Yapo
Nasema Uongo !
Bhalaa Biashara JF Kuwa Macho NazoMimi kaniibia nilifahamiana naye humu ila ipo siku nitamshangaza
Kwa hiyo bei naafikiana na wewe 100%Huyu ni mwizi kuweni makini na Mussa.
Nimejifunza alinipanga nikaingia akapiga yeye ni fundi kama anavyojitangaza kuna baadi ya thread!Bhalaa Biashara JF Kuwa Macho Nazo
Sasa hii kenge imeachwaje inaendelea kutapeli watu humu?Mimi kaniibia nilifahamiana naye humu ila ipo siku nitamshangaza
Wengine hawajui mimi nimetaarifu tu kwa mwenye bahati hatatapeliwa. Labda alipata tamaa na Tv yangu tuu.Sasa hii kenge imeachwaje inaendelea kutapeli watu humu?
Mchukulie hatua stahiki kenge huyo ajue hamna vitu rahisi rahisiWengine hawajui mimi nimetaarifu tu kwa mwenye bahati hatatapeliwa. Labda alipata tamaa na Tv yangu tuu.
Namlia timing atashangaa kajaa.Mchukulie hatua stahiki kenge huyo ajue hamna vitu rahisi rahisi
Kuweni makini na jizi hili!LG LED TV INCH 43
FULL HD 1080
USB, USB, HDMI
385,000
0618199522
DELIVERY IPO
Mkuu mkumbushe anayeishi hapo apige ukuta rangiHisense smart 4k inch 55
Uhd frameless
TV kama mpya
Nauza 750,000
0744680670
Free delivery
View attachment 2902519