Tunauza spea zote za vyombo vya majini(Marine Spares and Equipments)

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Posts
5,489
Reaction score
14,091
Wadau wa vyombo vya majini tunauza material za fiber, spea za injini za Boti,injini za Boti, Jet Ski, Marine Quadbikes,GPS na Fish finders.


Kwa wanaohitaji Jumla na rejareja Jet Ski,water sports tools, outboard engines, Garmin GPS na Garmin Fish finders zinapatikana. Tunatoa mafunzo ya kufunga na kutumia pia msaada baada ya kuinunua 24hrs/7days.

GPS za Garmin series 78/79
Zina uwezo mkubwa na memory card ya Kuanzia 1.9gb. Ina electronic chart ambayo hukusaidia kuandaa route na Unaweza kusave route 10,000. Pia ni water resistant na battery life ikiwa inafanya kazi ni 19hours/20hrs.



Garmin Fish Finders Sticker
Kifaa Kwa ajili ya uvuvi kina onyesha maeneo samaki walipo.



Jet Ski za SeaJet
Hizi ni JetSki zenye uwezo wa Kubeba Watu wa 2 mpaka 3 au wastani wa 280kg, Zina engine ya petrol (Hison Suzuki 4cylinder/16valves) yenye ukubwa wa 1400cc na speed ya 42miles/hr -56miles/hr (80km/hr-110km/hr)






Hison Cross ski( Amphibious Quadbike/All Terrain Vehicle)
Hii ni pikipiki ya tairi 4 ambayo inatembea nchi kavu na kwenye maji. Ina engine ya Hison Suzuki (1500cc 4cylinder 16valves) speed yake ni 37knots/37miles per hour/70kph.




Tunapatikana Dar es Salaam Kigamboni Vijibweni na Tanga Mkwaja.
Mawasiliano 0655361223/0768443973
 
Good wishes zije upande wako mkuu........nipo nje na Kada hiyo Ila nitakuwa afisa masoko asie na malipo kila nitakapokutana na mwenye uhitaji WA huduma unazotoa,kila la kheri komrade
 
Good wishes zije upande wako mkuu........nipo nje na Kada hiyo Ila nitakuwa afisa masoko asie na malipo kila nitakapokutana na mwenye uhitaji WA huduma unazotoa,kila la kheri komrade
Shukrani Mkuu, panapo majaliwa mwezi wa 7 nitafika ukanda wa Kigoma na maeneo ya Ziwa Tanganyika
 
Mkuu hii Pikipiki amphibious inauzwa shilingi ngapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…