INAUZWA Tunauza Submitter kwa Shilingi 15,000

INAUZWA Tunauza Submitter kwa Shilingi 15,000

Jonsonjohn

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2019
Posts
258
Reaction score
349
Tunauza Submeter kwajili ya wapangaji rejareja na jumla kwa bei ya shilling 15,000 kuanzia submiter mbili kwendelea pia mkoani

tunapatikana Dar Es salama, Karikoo, Tanzania.

Tunatuma mawasiliano 0712 708245

1650436743804.png
 
Tangazo langu linamapungufu gani?
Sijaona mapungufu mkuu, maana tayari naona umeweka mkoa nao patikana ni Geita, na hata naona ofisi zenu nimeona zinapatikana Kasamwa karibu na kituo cha police...teh😜
 
Kwa jumla ni kiasi gn na kuanzia ngap na hyo bei uliyoweka hapo ni ya jumla au reja reja?
Hii ni bei ya jumla 15,000 kuanzia mbili kwendela, reja reja ni 17,000 kila moja
 
Hii bei ya 15,000 na 17,000 ni bila gharama za usafiri, kabla ya kufanya malipo tuambie uko wapi ilitukupe gharama za usafiri.
 
Back
Top Bottom