Jonsonjohn
JF-Expert Member
- Nov 19, 2019
- 258
- 349
Kwahiyo hapo unaamini umeandika vizuri na umekamilisha tangazo lako la biashara sio...??🤨Submeter kwa wapangaji unaweza kufunga ya kwako kwabei ya shilling 15,000 bei ya kuuza pia mkoani tunatuma
View attachment 2193740
Tangazo langu linamapungufu gani?Kwahiyo hapo unaamini umeandika vizuri na umekamilisha tangazo lako la biashara sio...??🤨
😂🤣😂 Hadhila usibishane na fananiKwahiyo hapo unaamini umeandika vizuri na umekamilisha tangazo lako la biashara sio...??🤨
Sijaona mapungufu mkuu, maana tayari naona umeweka mkoa nao patikana ni Geita, na hata naona ofisi zenu nimeona zinapatikana Kasamwa karibu na kituo cha police...teh😜Tangazo langu linamapungufu gani?
Hii ni bei ya jumla 15,000 kuanzia mbili kwendela, reja reja ni 17,000 kila mojaKwa jumla ni kiasi gn na kuanzia ngap na hyo bei uliyoweka hapo ni ya jumla au reja reja?
HapanaMkuu unazo zile ambazo zinakata umeme nataka zile kama umeme wangu wa elfu kumi umeisha basi umeme kwangu ukate
karibuSawa nitakutafuta
Zipo za namna hiyo?Mkuu unazo zile ambazo zinakata umeme nataka zile kama umeme wangu wa elfu kumi umeisha basi umeme kwangu ukate
ndiyo aina moja tu.Zipo za namna hiyo?
karibuHii ni bei ya jumla 15,000 kuanzia mbili kwendela, reja reja ni 17,000 kila moja
Kwanini umbmebadili Id mkuu?Tunauza Submeter kwajili ya wapangaji rejareja na jumla kwa bei ya shilling 15,000 kuanzia submiter mbili kwendelea pia mkoani
tunapatikana Dar Es salama Karikoo Tanzania
tunatuma mawasiliano 0712 708245
View attachment 2193740
Nashida nazo mbiliHii bei ya 15,000 na 17,000 ni bila gharama za usafiri, kabla ya kufanya malipo tuambie uko wapi ilitukupe gharama za usafiri.
30.000 TshNashida nazo mbili