saraphina21
Member
- May 5, 2018
- 7
- 3
Mnauza au mnagawa bure?!Tunauza totebags, jumla na rejareja tunapatikana survey darajani karibu na Chuo kikuu Ardhi.
π0786 149173
π0652 918806
View attachment 3017631View attachment 3017632View attachment 3017633View attachment 3017634View attachment 3017635
πππNakutumia TZS 5,000 unitumie vibegi 5.
karibuuKwa bei hiyo, I'm sure mtapata wateja wemhi sana mazee...π€£
tunauza mkuuMnauza au mnagawa bure?!
We mgeni humu?!tunauza mkuu
Hapo sasa unauza..mwanzo hukuweka beiHabari wana JF,
Ninauza Totebags nzuri na imara ambazo ni multipurpose,unaweza kwenda nayo sehemu yoyote.
Kuna aina mbalimbali,na size tofauti tofauti.
Tuna laptop totebags pia,hizi unaweza kuwekea laptops mpka ya Inch 14.
Gharama reja reja ni kuanzia Tshs.16,000-Tshs.25,000.
Kwa ambao wana interest ya kufanya biashara pia,karibuni.
Tunauza kwa Bei ya jumla pia kuanzia pisi 3.
πTupatikana survey darajani,njia ya kwenda chuo kikuu Ardhi
π0786 149173
π0652 018806
Kila la kheri katika biashara
sawa,KaribuuHapo sasa unauza..mwanzo hukuweka bei
Haya bag ni kwa wadada tu?sawa,Karibuu