Boss au TCL inch 49 smart unauzaje?TCL Smart TV 43" FHD LED
Call/Whatsapp - 0717016789
Web OS[emoji3514]
Wifi[emoji3514]
Bluetooth [emoji3514]
Free DELIVERY [emoji3514]
USB PORTS[emoji3514]
HDMI[emoji3514]
FULL WARRANTY [emoji3514]
NETFLIX [emoji3514]
YouTube[emoji3514]
BRAND NEW [emoji3514]
Call/Whatsapp - 0717016789View attachment 941089View attachment 941090
Ni kama tu Tecno na SamsungUtofauti wa Star x na hizo zingine ni upi katika swala la uboraa.???? Mana naona bei yako ni cheap ukidogo ukilinganisha na hizo zingine lg, sumsung na TCL...
Sent using Jamii Forums mobile app
Utofauti wa Star X ni kwamba tu star X haijawa na jina bado. Ila kuhusu ubora ni kama sawa tu , hasa kwenye kudumu na uimara.Utofauti wa Star x na hizo zingine ni upi katika swala la uboraa.???? Mana naona bei yako ni cheap ukidogo ukilinganisha na hizo zingine lg, sumsung na TCL...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unapenya hadi hukumkuu una solar TV, kuanzia inches 24.... sh ngapi?
Nadhani tofauti kubwa ipo kwenye resolution mkuu, washa star x na washa LG au Samsung afu ziangalie.Utofauti wa Star X ni kwamba tu star X haijawa na jina bado. Ila kuhusu ubora ni kama sawa tu , hasa kwenye kudumu na uimara.
Tofauti nyingine kubwa ni vile vikorombwezo ambavyo hawa Samsung na LG wanakuwa navyo ambavyo hata hutavitumia. Ila tu ndio hvyo.
Mimi binafsi natumia star X since 2015 mpaka leo haijawahi nisumbua.
Sent using Jamii Forums mobile app