Mkuu kampuni x ya ujenzi jijini Dar waliombwa na mwenyekiti wa mtaa kusaidia kusafisha mifereji ya maji taka am Ayo ilikuwa imejifukia na kusababisha mafurikoMkuu ...
Kama ni mwingi huo udongo,
Kwa nini msiwasiliane na serikali za vijiji ,Ndani ya Arusha
Ili itumike kujaza "korongo " na njia za maji katika maeneo korofi , hasa wakati wa mvua..