Tunauza viazi Njombe

Tunauza viazi Njombe

saimoko

Member
Joined
Dec 25, 2022
Posts
37
Reaction score
27
MPYA HII,hapa mfanyabiashara na mtumiaji wa viazi mviringo,,,,,,,,,,(kiepe)
Msimu umewadia.tenaaaaaa,
KARIBU,mkoa wa
NJOMBE,kusini mwa Tanzania, ujipatie viazi mviringo aina zote,unazotaka wew kwa bei nafuu,kabs,....
Wewe dalali na mfanyabiashara mnakaribishwa,....
bei maelewano,
Mawasiliano 0620743697.

FB_IMG_16964051181646345.jpg
View attachment 2772994
 
Siku zote kwenye tangazo la biashara, nimekua nachukizwa sana na hili neno (bei maelewano).
Kwangu mimi hua linaleta tafasiri ya dalili za udanganyifu
 
Ukickia bei maelewano kua makini mno. Au njoo PM kua makini na kitu kizito
 
Toa bei. Kiongozi halafu sema kuna maongezi pia.
Mambo ya bei ya maelewano
Acha kabisa
 
Back
Top Bottom