Gien Banks
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 336
- 887
COMING SOON
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei hujaweka mkuu.
Unasema unachohitaji unapewa prices mkuu vitu ni vingi sanaa. Unaweza nicheck whatsapp
Kwa namba hzo hata picha inakua rahisi kukutumia pia.
Thanks
Mkuu kwa mtindo huo na nnavyowajua watu wa JF itakupelekea kufeli mapema sana, kama umeamua kuja kjitangaza humu jukwaani kuwa tayari kutenga muda wako ukaweka picha ya kitu na bei au hata na specs kama ukiweza, ukishindwa weka picha na bei tu.
Ila ukisema kila mtu akufate WhatsApp utakuja kuamini nnachokueleza, biashara always ni matangazo japo sipo hapa kukufundisha uuze vipi biashara yako ila kaa ukijua kitu kimoja "USISUBIRI PESA IKUFATE ULIPO, JITAHIDI BY ANY MEANS UIFATE PESA ILIPO NA UICHUKUE PIA BY ANY MEANS".
NIKUTAKIE KILA LA HERI MKUU.
Hivi vitu vya ndani vimekuwa vingi. Waturuki wameanza kutembeza majumbani door-to-door !Noted Mkuu
Nitalifanyia Kazi. Many Thanks
Hivi vitu vya ndani vimekuwa vingi. Waturuki wameanza kutembeza majumbani door-to-door !
Ungeweka na bei ingependeza sana sana...Yes Boss
Tuna husika na uuzaji wa Vifaa Vya Matumizi Ya Jikoni na Majumbani Genuine / Original stuff with Waranty
1. Juice Blender
2. Juicier
3. Refridgerator & Deep Freezers
4. Microwave
5. Ovens
6. Air Conditions
7. Water Dispensors
8. Rice Cookers
9. Flat Screen TV’s
Tupo Posta Mtaa Wa Samora
Contacts
0717 100 655
0625 661 961
View attachment 1770922View attachment 1770923View attachment 1770924View attachment 1770926View attachment 1770929View attachment 1770931View attachment 1770938View attachment 1770943View attachment 1770946View attachment 1770949
View attachment 1770933
Ukiweka biashara online hakikisha unaweka list ya bidhaa zako ,bei, mahala ulipo, namba za simu au upload link ya kampuni yako itayokuwa na taarifa zote muhimu. Vinginevyo utapoteza muda na kuleta usumbufu na zaidi katika biashara za ushindani unakuwa umetoa mwenyewe.Ungeweka na bei ingependeza sana sana...
Unapopita Kariakoo, au Lumumba, unayaona hayo mavitu live!!!Unasema unachohitaji unapewa prices mkuu vitu ni vingi sanaa. Unaweza nicheck whatsapp
Kwa namba hzo hata picha inakua rahisi kukutumia pia.
Thanks
Unapopita Kariakoo, au Lumumba, unayaona hayo mavitu live!!!
Sasa ikiwa mtu anayaona live yakiwa yamepangana, na hana time ya kwenda kuuliza bei, nini kitamfanya aulize hayo ya kwako, wakati ni picha tu hizo?!!
Si ajabu, mtu akiona mathalani Friji limeandikwa 500K, hapo anaweza kupata hamu ya kuuliza zaidi kwa sababu anaona kumbe inaendana na mfuko wake!!