Vifaranga Member Joined Nov 2, 2018 Posts 20 Reaction score 8 Nov 13, 2018 Thread starter #21 mob said: mkuu nahitaji kuku wa miezi 3 wawe miambili Click to expand... Unahitaji lini
C Chief Platinum Member Joined Jun 5, 2006 Posts 3,588 Reaction score 3,194 Nov 13, 2018 #22 Vifaranga said: Unahitaji lini Click to expand... VIfaranga chotara vinapatikana?
mob JF-Expert Member Joined Dec 4, 2009 Posts 2,262 Reaction score 1,356 Nov 13, 2018 #23 Vifaranga said: Unahitaji lini Click to expand... Baada ya mwezi
S Safre JF-Expert Member Joined Sep 2, 2010 Posts 273 Reaction score 36 Nov 13, 2018 #24 Mbona hujaweka bei
Vifaranga Member Joined Nov 2, 2018 Posts 20 Reaction score 8 Nov 19, 2018 Thread starter #25 mob said: mkuu nahitaji kuku wa miezi 3 wawe miambili Click to expand... Unahitaji lini mkuu
Vifaranga Member Joined Nov 2, 2018 Posts 20 Reaction score 8 Nov 19, 2018 Thread starter #26 mob said: Baada ya mwezi Click to expand... Karibu sana upo mkoa gani
Vifaranga Member Joined Nov 2, 2018 Posts 20 Reaction score 8 Nov 19, 2018 Thread starter #27 Safre said: Mbona hujaweka bei Click to expand... Unahitaji Wa umri gani mkuu
ilemi mahome JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 883 Reaction score 619 Nov 19, 2018 #28 Vifaranga said: Unahitaji lini Click to expand... ingependeza zaidi km ungeweka na picha za hao kuku,na je wale wamikoa mingine wakihitaji waatasaidiwa vp?
Vifaranga said: Unahitaji lini Click to expand... ingependeza zaidi km ungeweka na picha za hao kuku,na je wale wamikoa mingine wakihitaji waatasaidiwa vp?
Vifaranga Member Joined Nov 2, 2018 Posts 20 Reaction score 8 Nov 20, 2018 Thread starter #29 ilemi mahome said: ingependeza zaidi km ungeweka na picha za hao kuku,na je wale wamikoa mingine wakihitaji waatasaidiwa vp? Click to expand... Mamba hyo hapo juu kwenye post,tunaweza wasiliana mkoa uliopo tukutumie
ilemi mahome said: ingependeza zaidi km ungeweka na picha za hao kuku,na je wale wamikoa mingine wakihitaji waatasaidiwa vp? Click to expand... Mamba hyo hapo juu kwenye post,tunaweza wasiliana mkoa uliopo tukutumie
A african2010 Member Joined Mar 31, 2010 Posts 98 Reaction score 12 Sep 9, 2019 #30 AD Tunazalisha Vifaranga wa Kuroiler na kuuza vifaranga vya wiki moja Tshs. 1,200 vyenye chanjo ya awali na Vifaranga vya mwezi mmoja kwa Tshs. 4,500 wenye chanzo za awali za Mwezi mmoja. Kwa mawasiliano nipigie 0768 570 655.
AD Tunazalisha Vifaranga wa Kuroiler na kuuza vifaranga vya wiki moja Tshs. 1,200 vyenye chanjo ya awali na Vifaranga vya mwezi mmoja kwa Tshs. 4,500 wenye chanzo za awali za Mwezi mmoja. Kwa mawasiliano nipigie 0768 570 655.