Tunauza Vifaranga vya sato

Abdul971

Member
Joined
Aug 11, 2015
Posts
11
Reaction score
0
Kwa mahitaji yako ya viranga vya sato tafadhali wasiliana nasi kupitia namba hii 0717314500. Tupo Dar es Salaam Cheka, njia ya kwenda Kimbiji Kilomita 24 kutoka Kigamboni Ferry. Vifaranga vipo vya mda wa wiki moja na vya mwezi mmoja na bei zetu ni Shs 200/- hadi Shs 500. Nyote mnakaribishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…