EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
We bora uuze ramani tu, mambo ya gesi muachie RostamVituo vyetu vya LPG vina tenki kubwa la LPG, kitoleo cha LPG, pampu ya LPG, Kifaa cha Kugundua uvujaji na mita. Mita inafanya kazi ya kupima gesi inayojazwa kwenye mtungi au gari moja kwa moja. Bei LPG itapangwa kutokana jinsi mita ilivyosoma.
View attachment 1754247
Hivyo vituo vipo seti kamili. Vituo hivi vinajaza LPG kwenye magari ya LPG na mitungi ya LPG kwaajili ya kupikia.
Karibuni Sana.
Kama unahitaji PM.
Hahaaaa, we jamaa mimi nipo kotekote ndugu hata kulima nalima tu. Sichagui kazi.We bora uuze ramani tu, mambo ya gesi muachie Rostam